Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani nchini Tanzania Edward Lowassa amesema kuwa nguvu za chama cha upinzani cha Chadema zinaendelea kuimarika na kwamba upinzani utashinda uchaguzi mdogo wa eneo bunge la ...
Watu wenye ulamavu wa ngozi bado wanapitia changamoto nyingi maishani licha ya kuwa wamepiga hatua kubwa kuhakikisha kwamba pana usawa na pia wanajihusisha na shughuli za kujenga jamii na nchi .
Martin Wanyonyi ndiye mtu wa pili Kenya mwenye ulemavu wa ngozi kuchaguliwa kuwa mbunge baada ya Isaac Mwaura mwaka 2017. Idadi ya watu wenye ulemavu wa ngozi inakadiriwa kuwa ni mtu mmoja katika kila ...
Nchini Senegal, aliyekuwa waziri mkuu wa Senegal Ousmane Sonko, ambaye alifutwa kazi Mei 22, amechaguliwa kuwa Sika wa Bunge Mei 26, 2026, huko Dakar, kwa kura 132 kati ya kura 133 zilizopigwa. Uchagu ...
Bunge la Taifa la Kenya limepitisha jina la mrithi wa naibu wa rais zikiwa zimepita saa chache tangu kumuondowa Rigathi Gachagua kwa kura ya kutokuwa na imani naye. Bunge la Taifa la Kenya limepokea ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results