Kupunguzwa kwa misaada ya maendeleo kumechangia kushindwa kudhibiti mlipuko wa Ebola nchini DR Congo. Mashirika ya Ujerumani yanataka kuongezwa kwa fedha za dharura ili kuzuia ugonjwa huo kuenea zaidi ...
Mlipuko wa maambukizi ya Ebola Mashariki mwa DRC, unaonekana kuathiri mipango ya idadi kubwa ya mashabiki wa timu ya taifa ya ...
Shirika la Afya Duniani, WHO limerekebisha tathmini yake ya hatari ya virusi vya Ebola kutoka "juu" hadi "juu zaidi" ndani ya ...
Shirika la afya duniani limesema mzozo unaoshuhudiwa nchini Jamhuri ya Kidemorasia ya Congo, unalemaza juhudi za kukabiliana na mlipuko mpya wa virusi hatari vya Ebola nchini humo.
Whitman katika taarifa yake amesema amefanikiwa kuendeleza miradi ya manufaa kwa Kenya na Marekani ikiwemo vita dhidi ya ugonjwa wa Mpox na kuleta wawekezaji wa Marekani kuja nchini Kenya. Na Ambia ...
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Maendeleo Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania limesaini Hati za Makubaliano (MoUs) na taasisi tisa za elimu ya juu nchini, hatua inayolenga kuimarisha ujuzi wa vitendo, ubunifu ...
Kampuni moja ya Kijapani imefanya jaribio la droni nchini Ukraine ambayo imebuniwa ili kugundua mabomu ya ardhini kutokea angani. Hilo linajiri huku kazi ya kuondoa mabomu ya ardhini yaliyowekwa na vi ...
KILIMANJARO: SERIKALI ya Awamu ya Sita imeendelea kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi wa kike nchini kupitia uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya elimu, ambapo zaidi ya Sh bilioni 4.4 zimetu ...
Mwaka 2025 uliendelea kuthibitisha nguvu ya mitandao ya kijamii katika kuibua sura mpya za umaarufu, hasa barani Afrika. Watu binafsi waliweza kujijengea majina makubwa kupitia ubunifu, uhalisia na ...