''Nina pesa nyingi hata naweza kukodi mtu akuue, na hakuna atakayejua.Hakuna atakayekufuatilia.Hutajulikana kabisa.'' Aliyekuwa mkurugenzi wa muziki Damiel Evans anasema jinsi anavyokumbuka vitisho ...