'Napenda kuigiza uhusika wa kike ingali mimi ni wa kiume' anasema Abdallah Sultan maarufu kama Dullvani ambaye ni muigizaji wa vichekesho vya runinga nchini Tanzania. Dullvani anatumia mtindo wa ...
Msanii wa vichekesho wa Marekani Bill Cosby ameshindwa kuzuia kesi ya shutuma za kumyanyasa kingono msichana mwenye umri wa miaka 15- katika jumba la kifahari la Playboy mjini Los Angeles mnamo mwaka ...