Hivyobasi mara nyingi hulazimika kujiondolea lawama hiyo na badala yake kusema kwamba kizazi cha wake zao ndicho chenye tatizo. Utafiti umeonesha kwamba wanaume wenye kati ya umri wa miaka 18 hadi 35 ...
"Huna uwezo wa kudhibiti yale yanayofanyika ndani ya mwili wako. Uwe umechangia hali hiyo au la." Isley Lynn anakumbuka mara ya kwanza aliposhiriki tendo la ndo akiwa kijana na anaelezea wakati huo ...
Wito umetolewa kutoka kila kona ya nchi hiyo ukimtaka rais atafute ufumbuzi wa kudumu ili kunusuru mdororo wa uchumi unaoshuhudiwa sasa ukichochewa na ukosekanaji wa nishati ya kutosha ya umeme ambao ...
Wanafunzi wa msingi na sekondari wanatakiwa kuwa shuleni baada ya mwaka wa masomo kufunguliwa lakini wengine hawajaripoti shuleni kama anavyoandika Anaclet Rwegayura katika barua kutoka Dar akitizama ...
Tatizo la Moyo Kupanuka au kuwa Mkubwa ni Tatizo ambalo limendelea kuathiri watu wengi hivi karibuni katika Kajamiii ZetuTatizo hili linatokana na moyo kupanuka,wengine huzaliwa nalo,kudhoofu kwa ...