Mzunguko wa hedhi huathiri mwili mzima, mabadiliko ya homoni yanaweza kusababisha mabadiliko kwenye tishu kwenye mwili mzima, ...
Leo, Februari 21, 2025, umetimia mwezi mmoja tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kifanye uchaguzi mkuu wenye ...
Serikali imesema ipo tayari kurudi kwenye meza ya mazungumzo na wadau wa sekta ya mawasiliano kutathmini utekelezaji wa ...
Uamuzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) uliotoa agizo kwa Tanzania kufuta adhabu ya kifo ...
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro (RC), Adam Malima amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kwenye maeneo yanayopakana na vivutio vya ...
Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi, kueleza kuhusu mbinu mpya za rushwa ...
Wakati Mamlaka ya Bima Tanzania (Tira) ikiongeza undikishaji wa ada za bima kwa asilimia 7.4 kutoka Sh1.1 trilioni mwaka 2022 ...
Utafiti mpya uliofanywa na Taasisi ya Economic and Social Research Foundation (ESRF) umebaini wagonjwa wa saratani hufika ...
Mfanyabiashara Novita Shirima (49), mkazi wa Katanini na Dereva Justine Mbise (29), mkazi wa Bomambizi wamefikishwa katika ...
Hatimaye Al Hilal ya Sudan wamepangwa na kingingi Al Ahly kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeonya uwepo wa hali mbaya ya hewa kwa siku tano katika mikoa mitano nchini pamoja na ...
Majego hayo yalijengwa na Rais wa Awamu ya Kwanza wa Zanzibar, Abei Amani Karume baada ya Mapinduzi mwaka 1964.